Wednesday, August 14, 2013

VIDEO:HUYU NDO MEMBER MPYA WA KONVICK MUSIC...

Photo: Welcome to our newest member ZEWDY to the KONLIVE team. My lil African Queen. Lets get it baby #TeamAKON
Week hii mwanamuziki raia wa Senegal Akon amemtambulisha member mpya wa katika label yake Konvick music kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook ..Member huyo mpya anaitwa ZEWDY


 Hivi ndivyo alivyo andika Akon kwenye page yake ya facebook .
@Welcome to our newest member ZEWDY to the KONLIVE team. My lil African Queen. Lets get it baby ‪#‎TeamAKON‬
mtizame hapo chini Zewdy akionesha uwezo kwa kuimba wimbo wa Rihanna ''Unfaithful''

0 comments: