Baada ya kugombea udiwani wa kata ya Kinondoni katika
uchaguzi uliopita kwa ticket ya chama cha CUF na kushindwa ,Kalapina amesema
kwasasa anajipanga kuwania ubunge wa jimbo la kinondoni ambalo kwasasa lipo
chini ya Iddy Azan..
Repota wa
Swahiliinfo alimuuliza kama anampango wa kugomea tena baada ya kushindwa udiwani
kwenye uchaguzi uliopita ‘’swali zuri sana mimi saivi naitwa mbunge wa kinondoni
hivyo ntagombea uchaguzi ujao’’amesema kalapina..
1 comments:
Ametisha mzaz kaanza kujiita mbunge before tukio! Hahaha gwalaa kwake
Post a Comment