Wednesday, August 07, 2013

wangechi mutu mkenya alie tokezea kwenye video ya jay Z PICASSO BABY..Mkenya anaeishi New york Marekani Wangechi Mutu ambaye ni msanii wa michoro ametokezea katika video mpya ya Jay Z ,PICASSO BABY kutoka kwenye albam yake mpya ya Magna Carter Holy Glail..Wangechi mwaka 2010 alikuwa mshindi wa tuzo za  deutsche Bank kama Artist of the Year,hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji hiyo video..
 

0 comments: