Monday, August 05, 2013

T.I ATISHIA KUMCHOMA KISU RAIA.

T.I. Celebrities Visit SiriusXM Studios - June 17, 2013

Inavyoonekana T.I huenda akaingia matatizoni tena ,fununu zinasema weekend iliyoisha akiwa DC na 2 Chainz na  Lil Wayne kwenye tour ya  “America’s Most Wanted” alitaka kumchoma mtu kisu  akiwa eneo la parking ya night club


habari zilizoenea kwenye mitandao zinasema jamaa alimshika makalio mke wa T.I ‘Tiny’ ndipo T.I Alipo mchomolea kisu jamaa .
Wengi tunaamini T.I atakuwa amejifunza baada ya kwenda jela mara mbili katika kipindi kifupi ,lakini linapo kuja swala la wife kushikwa mata**** huwezi kuwa mpole.hakuna taarifa rasmi iliyotolewa mpaka sasa kuhusiana na tukio hilo..
Tizama Twetter zilizozungumzia ishu hiyo..

0 comments: