Thursday, August 08, 2013

Nicki minaj amjubu Rapper aliesema alikuwa akimwandikia mashairi..

Image: Nicki Minaj & Ransom: Back & Forth on Twitter Over Ghostwriting

Nicki Minaj amemtolea uvivu rapper kutoka  New Jersey  Ransom,ambaye alidai alikuwa akimuandikia mashairi Rapper huyo wa kike kutoka YMCMB.


 Kupitia interview  alioifanya Nicki Minaj na mtandao wa TMZ “na rap vizuri zaidi yake ,yeye ni nani , “I rap better than him, who the f-ck is he? I’m not even a man and n-ccas got a d-ck in their mouth. Get the f-ck out of here! Are you serious?”
Yote hayo yamekuja baada ya Ransom  kuachia ngoma mpya “Man Alone,” ambapo humo ndani kuna lyrics zinazosomeka  “Before Nicki was wearing those crazy wigs, I was doing verses for her, just hoping she made it big.”
Nicki amesisitiza kuwa hajawahi kuandikiwa mistari tangu anaanza game hivyo jamaa ni muongo.
Baada ya Nicki kuzungumzia ishu hiyo Rapper  Ransom aliamua kumjibu Nicki kupitia Twetter kwa kumwambia ameeleweka tufauti katika mistari aliochana kwenye track yake mpya ya Man Alone wala hakuwa na lengo la kuto kumueshi Nicki ,

cheki video ya Ransom  Man Alone..

0 comments: