Friday, April 05, 2013

Chris Brown ajitetea kuwa anavuta bangi kama dawa...

chris brown marijuana stage ghana
Chris Brown Amejitetea kufuatia kuonekana kwa picha akivuta Bangi juu ya jukwaa akidai anavuta  bangi kwa ajili ya tiba
March 5, 2013 Chris Brown alipigwa picha akivuta ganja on stage pande ya  Hope City concert in Accra, Ghana.


Chris Brown amechukizwa na Media za nchini  Ghana kwa kuonesha picha hizo, wakati akipiga story na   Power 105.1 FM kupitia kipindi cha The Breakfast Club radio show amefunguka kwa kusema
"kuna kitu nilikuwa nafanya kwenye tour yangu yote kinaitwa smoke by the brain…So ilikuwa ni sehemu ya  show ikihusissha ngoma ambazo nazungumzia weed…kila mmoja anajua natumia marujuana kama tiba lakini mimi siwezi kuvuta one stage "
check Chris Brown akizungumzia ishu kibao ikiwemo ugomvi wake na Frank Ocean

0 comments: