Monday, April 22, 2013

Baby Mama wa Nate Dogg adai pesa za matunzo ya mtoto…

 

Licha ya kuwa Nate Dogg   alifariki March 2011 kutokana na kupata strokes mara kadhaa ,lakini hiyo haijatosha kustop drama za baby mama wake kwani amefunguka kumdai pesa yake  nate dogg .

 Bidada wakuitwa  Shereda Williams amefungua jarada kwenye mali alizoziacha nate dogg akidai anaitaji alipwe dola zaid 339,924 kwaajili ya malezi ya mtoto walio zaa pamoja ,
inadaiwa late Nate alitakiwa  kumpa Shereda dola 4,358 kwa mwezi baada ya mtoto kuzaliwa 2006,lakini kwa mujibu wa baby mama hajawahi kupokea hata sent 5 kutoka kwa nate ..


sasa Shereda amesema kupitia  mali za Nate  anaitaji kulipwa pesa hizo..
lakini mtandao wa ThisIs50.com umeandika ni vigum  Shereda kulipwa pesa hizo kwa nate doog anadaiwa kuto kuacha pesa za kutosha kwa hata familia yake iliitaji pesa ya ziada ku cover cost za mazishi…

 

 

0 comments: