Thursday, April 04, 2013

Kid Cudi apewa baraka zote kujitoa GOOD Music ..

G.O.O.D. Music Releases Statement on Kid Cudi's Departure
Kid Cudi alitangaza jumanne ya april 2 kupitia Power 106 juu ya kuamua kufanya kazi mwenyewe na kuachana na label ya mtu mzima Kanye ,baada ya kufanya nayo kazi kwa miaka mitano ..  . Cudi alisema alikuwa akisubiria kufanya kazi mwenyewe na akasisitiza kuwa yupo cool ya Kanye.
sasa wadadisi wa mambo wameitafuta management ya "G.O.O.D. Music kuzungumzia ishu hiyo na jamaa wamesema wanatoa support katika  maamuzi ya  Kid Cudi kuondoka GOOD MUSIC(Getting Out Our Dreams".)Label yenye wakali kama John Legend ,Big Sean ,Pusha T na mwana kutoka Nigeria D'banj ....

0 comments: