Tuesday, April 09, 2013

Ray J Azungumzia ngoma aliomuimba Kim Kardashian ....“I Hit It First,”


Ray J and Kim Kardashian
Ray J week hii ana make headline za mitandao kufuati kuachia  track“I Hit It First,” inayomzungumzia  Kim Kardashian ambaye amebeba ujauzito wa Rapper Kanye west  ,sasa baada ya watu kuzungumzia sana track hiyo  Ray J amezungumzia track hiyo kwa kusema hakuna beef bali ameamua kufurahisha tu.
Ray J amesema watu wanachukulia hii kitu  seriously . “ni wimbo tu haiko kama wanavyofikiria,watu wanaenda mbali sana .amesema Ray J..

msikilize hapa akipiga kwa njia ya simu na “The Cipha Sounds & Rosenberg Show,”

0 comments: