Wednesday, April 17, 2013

Coolio aingia matatizoni kwa kumpiga Girlfriend ...


mkongwe katika ulimwengu wa muziki ambaye pia nimkali wa ngoma kama i see you when you get there mtu mzima Coolio anadai kutiwa mikononi mwa police mwanzoni mwa mwezi huu kwa kosa la kumpa kibano girlfriend wake na kusababishia alama katika uso wake
licha ya habari hizi kuchelewa kuingia katika mitandao lakini TMZ Wamereport kuwa april mosi jamaa alikamatwa na police baada ya kumpiga    Anabella Chatman ambaye ni baby mama wake na kisha kumchukua kinguvu mwanae wa kiume na kuondoka nae huku akiwana na kidosho mwingine
kibaya zaidi inadaiwa jamaa alimgonga na gari baby mama wake huyo na kumuachia jelaa kwenye mguu wake
lakini coolio mkali Gangsta's Paradise" akiojiwa na police "amededai girlfriend wake ndie alie mshambulia kutokana na wivu baada ya kwenda na kidosho mwingine home ,hata hivyo police hawakuridhishwa na utetezi wake na kuendelea kumshikiria ..na mpaka sasa hakuna taarifa zozote kama jamaa ameachoiwa ama vinginevyo

0 comments: