Monday, April 22, 2013

Police wazuia kufanyika party ya kuvuta bang alioianda Snoop Dogg.....

Snoop Dogg marijuana party
kwa  mujibu wa mtandao wa TMZ , rapper snoop alikuwa na party ya kuvuta marijuana  pande ya Hollywood Hills na ikazuiwa kufanyika muda mfupi baada ya snoop kuwasili eneo la tukio,
party hiyo ilitajajiwa kuanza mida ya saa tano asubui lakini majiraji wa eneo hilo waliwasilisha malalamiko yao police juu ya kelele zizokuepo pamoja na tatizo la parking ,
pia ikasemekana  party hiyo haikuwa na kibali chochote.


Cops waliwasili pande hizo na kuizuia party hiyo ya kuvuta ganja na kudaiwa snoop kutoa ushurikiano kwa police na kuelewa kwanini imezuiwa isifanyike ..
Kabla ya kucelebrate ,snoop alionekana yupo tyari kwaajili ya ku pary kwani alitweet  . "Bout to be #Snoop420,". "Who's celebratin' wit me. The happy holidays."

0 comments: