Thursday, June 26, 2014

Dogo janja amesema mazingira ya shule za kinzania ndio yanayo sababisha ashindwe kuendelea na masomo


Dogo janja ambaye ameishia form 2 na kushindwa kuendelea na masoma katika shule ya sekondari makongo alipo kuwa anasoma baada ya kuto kufanya vizuri katika mitiani yake ya kuingia form 3 amesema ukiwa msanii kusoma katika shule zetu huwa ni ngumu kutona mazingira.

Dogo janja akijibu swali kama anampango wa kuendelea na shule  kwenye kipindi cha Trending Africa kinachoruka Times FM 100.5  amesema "ukisha kuwa msanii kwasababu mimi yani naingia form 1 tayari najuliakana kwahiyo msanii kusoma katika mazingira ya shule zetu zenyewe hizi za kawaida huwaga inakuwaga na mazingira magumu sana ,then cha pili sio kama naweza nikaipotezea skull ila siwezi nikaahidi "

0 comments: