Tuesday, June 10, 2014

Video:"Albam yangu mpya itakuwa bora kuzidi zote" asema Nikki mbishi.

Msanii wa HipHop kutoka Tanzania Nikki Mbishi Zohan amesema albam yake mpya itakuwa bora kuzidi albam zake zilizopita.
kupitia kipande cha video alicho jirekodi wakati akipitia wimbo mpya ulipo kwenye albam hiyo unaoitwa "'Michepuko''amesema mashabiki zake wategemee albam bora kuzidi Malcom XI na Sauti ya Jogoo. 


''nimechill zangu geto najaribu kuipia albam yangu ya sasa hivi ,lakini nawambia na nna garantee kwenu ni zaidi ya Malcom XI  ni zaidi ya Sauti ya Jogoo kwa hiyo expect the best, hapa na jaribu kui-review  moja ya ngoma  iliopo kwenye hiyo albam inaitwa Michepuko, Michepuko najaribu kuelezea sometime asilaumiwe tu mwanaume anapotoka nje ya ndoa lazima mjiulize kuna sababu gani zilizo sababisha mpaka yeye akaenda nje ya ndoa'' amesema Nikki Mbishi
Msikilize Nikki akielezea albam yake mpya na wimbo unaitwa Michepuko..

0 comments: