Thursday, June 26, 2014

2face hajafurahishwa na vyombo vya habari kuzungumzia ugonjwa unao msumbua baba yake.

 http://cultureshocknigerians.com/wp-content/uploads/2013/02/2face.png
2face hajafurahishwa na vyombo vya habari kuzungumzia ugonjwa unao msumbua baba yake.
baada ya kuenea  habari kwenye vyombo vya habari nchini nigeria kuwa baba wa muimbaji 2face Idibia anasumbuliwa na saratani,
chanzo cha karibu na muimbaji huyo kimesema 2face hajafurahishwa na jinsi ambavyo vyombo vya habari vimekuwa vikizungumzia maradhi yanayo msumbua baba yake
 chanzo hicho kimesema 2 face hajapendezwa na ambayo vyombo vya habari vimezungumzia familia yake kwa kuwa maradhi ni ya baba yake sio yake hivyo anaona hajatendewa haki.
2face wakati alipohudhuria hafra ya kuchangia saratani jijini Lagos  alikiri kuwa baba yake anasumbuliwa na saratani ya kizazi  (Prostate Cancer) ugonjwa ambao umekuwa ni tatizo kwa familia yake..
0 comments: