Tuesday, November 13, 2012

GAME ABADILI COVER ART YA ALBAM YAKE IJAYO,JUSES PIECE...
Game  amebadilisha cover art ya album ijayo  "Jesus Piece," ambapo cover art ya mwanzo ilileta utata baada ya kuonesha sura ya Jesus Christ ikiwa imefunikwa  red bandanna ,na sasa ameweka sura ya marehem kaka yake aliyefariki kwa kupigwa risasi ..
Cover mpya ya Jesus Piece...


0 comments: