Friday, November 30, 2012

BEEF;50 ASEMA FRENCH MONTANA HAWEZI KUSHINDANA NA LEVEL ZAKE.....

50 Cent kwasasa ameachia new track "My Life" featuring Eminem and Adam Levine, na katika sehem ya  verses zilizomo humo ndani 50, ametumia maneno makali dhidi ya member wa zamani wa G-Unit ,Game na Young Buck,akiashiria hakuna love kati yao..lakini pia ameendeleza vita ya maneno dhidi ya rapper kutoka Bad Boys  French Montana..
Katika interview  alioifanya 50 kuhusu MoNtana amesema " anaendesha mdomo wake kitoto,hayuko tayari kushindana na mimi katika Level yoyote ,nikiachia ngoma inakuwa yakwanza kimauzo ndani ya masaa 24,
Hayo ni majigambo ya 50 dhidi ya French Montana.

0 comments: