Wednesday, November 07, 2012

Young Jeezy - “We Done It Again” [LISTEN/DOWNLOAD]


Four years ago, Young Jeezy kupitia ngoma ya  "My President is Black" ilishine katika celebration za ushindi wa President Barack Obama. Sasa mwaka huu  2012 Georgia MC amerudi na mwendelezo wa wa track hiyo na kutoka na  "We Done It Again."
2008 vijana wote duniani mwenye asili ya afrika walisherekea ushindi wa obama na slogan ya My  'My President' is black. 2012, jeezy anasema anataka Barack to know we got his back and 'We Done It Again'." We don't wait for history, we claim victory!,”
download na kuisikiliza hapa..We Done it again

0 comments: