Tuesday, November 20, 2012

JA RULE KUTOKA JAIL FEBRUARY 2013

Former Def Jam rap artist Ja Rule baada kuhukumiwa kwenda Jail June 7th 2011 kwa kosa la kutumia silaha kinyume na sheria ,sasa kwa mujibu wa website yake RuleYork, nikwamba jamaa  atatoka February of 2013. 

0 comments: