Tuesday, November 06, 2012

Beyonce aonesha heshima kwa Obama,katika barua aliyo muandikia ...

Siku moja kabla ya 2012 presidential election,nchini marekani Beyonce  amepublish barua akionesha heshima kwa President  Barack Obama  
Barua hiyo aliyoiandika diva Beyonce inaonekana imeandikwa kwa mkono akimalizia na sahihi yake kwa chini ambayo aliipost jana jumatatu kwenye  Beyonce.com ..katika barua hiyo amesema uongozi wa Obama umekuwa inspiration kwa mwanae  Blue Ivy  na  nephew wake Juelz, "wakikuwa wakiamini wanaweza kuwa vyovyote wana taka kuwa
Check out the letter below.

0 comments: