Tuesday, November 20, 2012

Rumors:Drake Aonesha kumdiss Chris Brown wakati AMA Performance

licha ya kuwa  Chris Brown na Drake hawajaingia kwa mara nyingine kwenye bee ya moja kwa moja ..lakini wafuatiliaji wa mambo wanasema  wakati Chris ana perform ngoma ya "Everyday Birthday" akiwa na  Ludacris pamoja na  Swizz Beatz wakati wa  American Music Awards, Drake  alikuwa busy na mambo yake pasipo kuangalia stage kama hajui kuwa chris yupo Chris on stage.

0 comments: