Monday, November 12, 2012

JUSTIN BIEBER NA BABY MAMA WA 2FACE (picha)

Justin bieber alipiga picha hii na mama wa watoto watatu wa 2 face idibia kwenye redcapet,,Pero Odeninyi anaishi marekani na katika hiyo picha mtoto huyo mkubwa wakike ndie mtoto wa kwanza wa 2face.2face anawatoto sita ,watatu amezaa na Pero  Odeninyi na wawili amezaa na Sumbo Ajaba na mmoja amezaa mkewe ambaye si halali Annie Macaulay..

0 comments: