Saturday, November 24, 2012

LIL WYNE ATAKAZA KUACHANA NA RAP,THA VARTER V NDO ALBAM YAKE YA MWISHO..

Young Money front man Lil Wayne ametangaza rasmi kuwa albam yake ya Tha Carter v itakuwa na ni albam yake ya mwisho kuitoa ,

"najua nyote mkependa niendelee kuwepo kidogo ,lakini 'Tha Carter V' itakuwa ni album yangu ya mwisho " nimekuwa nikirap tangu na miaka 8 na namiaka 30 sasa , ni muda mrefu sasa ,nataka kufanya vitu vingine “amesema lil wyne wakati akipiga story na MTV News.. 

Rappers kadhaa walisha wahi kutangaza kuachana na muziki ,mwisho wa siku hurudi nakuenelea na game.Je? "Tha Carter V" ni kweli itakuwa ni albam ya mwisho ya Lil wyne ? Let us know.

0 comments: