Monday, November 26, 2012

CHRIS BROWN AJIFUTA TWITTER....

Masaa machache baada ya kuingia kwenye vita ya maneno kupitia mtandao wa Twitter na comedian Jenny Johnson , Chris Brown amefuta account yake ya twetter.Hii sio mara ya kwanza kwa C Breezy  kujiondoa Twitter  ,November 2011 alifuta account yake baada ya kukosolewa kuhusiana na uhusiano wake na Rihanna.
Hii ndo tweet ya mwisho kutoka kwa chris  Kabla ya kujifuta twitter ..


0 comments: