Friday, November 16, 2012

PATA STORY YA RAP P BAADA YA KWENDA MBELE..


Fredinah Peyton a.k.a Rah P alikuwa  hottest female MC in Tanzania nyuma miaka ya  2000 hiyo ilikuwa nikabla ajaenda  abroad  nakufanikiwa kuolewa na jamaa ambaye ni drug lord,  hustles, challenges na ugumu alioupata wakati anaanza maisha mapya abroad anavielezea katika interview alioifanya Kali TV interview....

Take a LOOK

0 comments: