Friday, November 16, 2012

NEW JOINT:RIHANNA ft CHRIS BROWN..Nobody’s Business’


Rihanna na Chris Brown ni wapenzi au they just friends? Vyovyote mahusiano yao yalivyo, it’s “Nobody’s Business.” Wapenzi hao wa zamani wameungana kutengeneza ngoma kutoka kwenye albam ya saba ya rihana Unapologetic, itakayoingia mtaani  November 19.
“You’ll always be my boy/I’ll always be your girl/ It ain’t nobody’s business, but mine and my baby,” baadi ya mistari ya RiRi katika track hiyo ambayo amesample track ya Michael Jackson “The Way You Make Me Feel”
 “‘Nobody’s Business’ ni ngoma ambayo inahusisha maisha yangu,” Rihanna  alimwambia Andy Cohen kwenye “Facebook Live.” “
Sikiliza hapa..

0 comments: