Friday, November 09, 2012

Exclusive! Game:… KUPANDA ULINGONI KUZICHAPA NA GUCCI MANE..West Coast rapper Game ametoa mawazo yake kuhusina na  tweet za Gucci Mane ,Gucci alichapisha kupitia ukurasa wake wa twetter ,kuwa anataka kupanda ulingoni na kuzichapa na Rapper yoyote atakae kuwa tayari..kufuatia taarifa hizo Game amesema Gucci ni mtu wake na atapanda ulingoni  na mkwanja utakaopatikana ni kwaajili ya  yakutoa msaada ..Game  pia amezungumzia pia kitakachotokea pindi atakapo kuwa ulingoi na Gucci Mane.


Check out this video

0 comments: