Tuesday, November 13, 2012

YOUNG JEEZY ATANGAZA UJIO WA MIXTAPE MPYA……

Ikiifuata studio albam yake “TM103: Hustlers Ambition”…Young Jeezy anarudi tena kwenye mtindo wa mixtape kama project yake ijayo.
Kwenye behind the scene ya clip ya upigaji picha za video za wimbo wake mpya “Get Right” huko Macon, Georgia..Jeezy amesema yuko jikoni kwa sasa anapika mixtape mpya…amesema hayo kupitia ujumbe wenye maandishi “mixtape Coming Soon” mwishoni mwa video clip hiyo…bila shaka hata hii “Get Right” pia imo ndani ya mixtape hiyo.
Mixtape ya mwisho za rapper huyo aliye chini ya uangalizi makini wa Def Jam lebel ilikuwa ni “The Real is Back” ya mwaka jana…”Thug Motivation 103: Hustlerz Ambition” albam ilifika hadi nafasi ya tatu kunako Billboard Top 200 Albam Chat..mpaka sasa imeuza nakala zaidi ya 233,000.

 Behind The Scene Young Jeezy-Get Right)

0 comments: