Wednesday, November 07, 2012

NONINI COLOUR KWA FACE PROJECT 2 (Photos)..


Nonini baada ya kupata mafanikio katika project ya Colour Kwa Face ,sasa ameamua kufanya  Colour Kwa Face Project 2, lengo ni kuonesha heshima kwa walemavu wa ngozi na kutoa ujumbe kwa jamii, juu ya hawa ndugu zetu ambao baadhi ya watu wamekuwa wakitumia viungo vyao katika maswala ya kishirikina …0 comments: