
Wakongwe wawili katika music Nas na Tyrese wakuja na Movie Black Nativity ambayo imeingia rasmi kwenye stores leo Nov 27
Movie hiyo imewashirikisha wakali wengine katika music kama Jennifer Hudson na Mary J Blige.





Rapper kutoka kiwalani Darasa anakuja na Kanda Mseto [Mixtape] Yenye nyimbo 19 Aliyoipa
Jina La "Dream Big - ChapaKazi " . Mixtape imewashirikisha
Shilole, Ngwear, Akiba, Bandana, Jux, Suma Lee, One Da Icredible Na
Wengine Wengi.




