Profesa Jay alikuwa mgeni katika kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times
Fm Ijumaa iliyopita ikiwa ni Exclusive Friday ambapo alifanya mahojiano
na Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa.
Leo (April 30) mlango wa kuwapigia kura wasanii wanaowania
tuzo katika vipengele mbalimbali vya Kilimanjaro Tanzania Music Awards
2014 unafungwa rasmi. Mashabiki wanaweza kusaidia kuwapa nafasi zaidi wasanii wanaowapenda
au nyimbo wanazozikubali zaidi na wanapenda zichukue tuzo mwaka huu
katika vipengele husika.
Baada ya shirikisho la mpira wa kikapu nchini
marekani NBA kumfungia maisha mmiliki wa timu ya LA Clippers Donald sterling kufuatia
kupatikana na hatia ya ubaguzi,watu maarufu wameonesha nia ya kuinunua timu
hiyo akiwemo Rapper na mfanyabiashara Diddy.
DJ Khaled amesha fanya nyimbo na wasanii
wakubwa kama Kanye West, Lil Wayne, na Drake, na sasa amejipanga kufanya collabo
kubwa na Rapper Jay Z kwenye ngoma alioipa jina la “They Don’t Love You No
More,”itakayo kuepo kwenye albam yake ijayo. “
nifuraha kufanya kazi na Jay Z kwenye albam yangu mpya ,nimefanya kazi kubwa
mpka kufikia hapa’ amesema Dj Khalid ambaye anajianga kutoka na albam yake ya
nane
Wiki hii kumekuwa na taarifa za ugomvi wa mapacha wanao unda kundi
la P-Square na ikisemekana wanataka kugawana mali ili kila mmoja ajitegemee
,huku mke wa Peter akitajwa kuwa chanzo cha ugomvi huo ..
Wasanii wanaofanya vizuri hivi sasa kutoka Nigeria Wizkid na Waje wote kwa pamoja wamemfukuza
manager wao Godwin Tom kwa kile kinachoelezwa kuwa wametofautina katika kazi.
Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amepunguza mwili kwa
lengo la kuwa na muonekano mzuri kwenye sherehe ya ndoa yake itakayo fanyika
wiki ijao (april 26 )dubai.
Mrembo wa kipindi maarufu cha
kuonesha maisha halisi The ‘Keeping Up With The Kardashians‘ Kim Kardashian
ameanza kujiandaa kwa ajili ya ndoa yake na Kanye ambapo anatarajia kuanza
kulala akiwa amevalia ‘kivazi maalamu’cha kutengeneza muonekano mzuri wa umbo
lake ..
Pamoja ya kuwa yupo jela chris brown amewakumbuka mashabiki wake kupitia ujumbe wa sauti alimtumia girlfriand wake ambaye huachana na kurudiana Karrueche Tran Karruechi aliu-play ujumbee huo mbele ya video camera huk akitabasamu kwa ajili ya mashabiki wa chris brown #teamBreezy ambaye yupo jela kwa mwezi mmoja kwa kosa la kukiuka kifungo cha nje