Friday, December 21, 2012

#BARUA ALIOANDIKA RIHANNA KWENDA KWA FANS WAKE

Baada ya  Beyonce sasa ni zangu ya Rihanna kuandika barua kwa mkono kwenda kwa fans wake .
kufuatia  kufanya vizuri kwa albam yake Unapologetic pamoja na 777 tour, Rihanna ameandika barua kwa mkono na  amei-adress barua hiyo kwa Navy, akikumbushia safari yake katika  musiki


“ miaka 7 albam 7 nikitu kikubwa cha kufurahia ,kumbukumbu nyingi za furaha na bado tupo pamoja safarini ,tumetengeneza habari mpya ,tukashare vicheko,tumekutana na watu wapya,tukapiga story ,kwa imani na matumaini” ameandika Ri Ri katika sehemu ya barua hiyo”
 #soma barua hiyo hapa
 
0 comments: