Saturday, December 15, 2012

PICHA 4 ZA P SQUARE WAKIWA KWENYE PRIVATE JET KUELEKA KIGALI RWANDA..

                                                   Paul Okoye
                                            Peter Okoye Sleeping
                                                Jude Okoye na Peter Okoye


P Sguere pamoja na  ‘heavyweight’ MC kutoka Uganda Dr Jose Chameleone wanapiga show  Amahoro National Stadium , Kigali week end hiii. P Sguere kwenye ndege hiyo binafsi waliambata na kaka yao Jude Okoye pamoja na bouncers ,dancers na managers.
Peter Okoye ambaye kwa muda wote huonesha kuwajali fans wao alitweet juu ya kufika salama jijini Kigali nchini Rwanda..

0 comments: