Saturday, December 15, 2012

CHECK OUT:VIDEO TRAILER YA P-UNIT NA COLLO ‘YOU GUY ’
Baada ya kupata Air time ya kutosha nchini Kenya na baadhi ya club za afrika mashariki track ya You guy’ kutoka kwa P-UNIT wakiwa na King wa Rap Collo imefanyiwa Video .. Katika VIDEO TRAILER ilioachiwa inaonekana ni Video ya Black and white ,Clarence Peters ndo director na ndani ya video hiyo kuta Totoz wa kutosha ..

0 comments: