Thursday, December 06, 2012

WIZ KHALIFA APANGA KUMUOA AMBER ROSE KABLA HAJAJIFUNGUA....

Rapper Wiz Khalifa amepanga kufanya haraka kumuowa mchumba wake ambae ni mama kijacho Amber Rose kabla hajajifungua mtoto wake wa kwanza ..Wiz amefunguka habari hizo wakati akizungumzia albam yake ijayo na The Breakfast club ya Power105.1

check video...

0 comments: