Wednesday, December 19, 2012

MAPENZI YA PREZZO NA GOLDIE KATIKA LEVEL ZINGINE...


Mapenzi ya wakali wawili kutoka Africa Kenyan bad boy Prezzo na Nigerian singer Goldie, ambao walikutana kwenye  Big Brother AfricaStargame,yamekuwa yakipiga hatua  siku baada ya siku….

Si muda mrefu tangu Prezzo  kuamishia maisha yake nchini Nigeria kwasababu ya Goldie. Kupitia  press conference alioifanya hivi karibuni  Prezzo amekubali kuwa na mapenzi ya dhati kwa  Goldie  na akakili  kuwepo uwezekano wa kufunga ndoa…

Na kwasasa Prezzo  ameyapeleka mapenzi yake na Goldie kwenye  twitter, sehemu ambayo sio ngeni katika mapenzi yao..

CHECK TWEET  ZAO

Wsup Prezz? What’s the time? Ace Goldie tweeted at Prezzo.

Prezzo tweeted back and called Goldie first lady, It’s time 2 shine & make em fall in line, 1st lady!” Prezzo replied.

Ur the bestest and I am the luckiest, stay on ur grind and let nothing or no one put u dwn coz ur a star #24K all day errday, Prezzo, ambaye ni balozi wa  One Campaign panoja na  JayZ hiyo ndo tweet yake ya mwisho kwa Goldie  jana…

Goldie na  Prezzo  wamekuwa wakihudhulia events tofauti tofauti pamoja, Kenya na nje ya Kenya….

 

0 comments: