Tuesday, December 18, 2012

BUSTA RHYMES KUDROP A NEW MIXTAPE MWEZI HUU…INAITWA “CATASTROPHIC”….

Akiwa chini ya muhuri wa lebel ya YMCMB…mtu mzima Busta Rhymes aka Basta Buss ametangazwa kudrop na mixtape mpyaaaa kabisa mwezi huu-huu.
Albam ya mwisho ya mtu mzima huyu ni “Year of The Dragon” ambayo rasmi ilidondoka mtaani mwezi Aug na akaonekana yuko kimya dizain.
Sasa inavyoonekana ni Holiday hii ni kama imemkurupua…ambapo mixtape kwa jina la “Catastrophic” itaingia mtaani Ijumaa ya Dec 21…mixtape ambayo inasemekana itakuwa chini ya The Conglomerate Ent. Na Shaheem Reid…kitaalamu kwenye cover imeandikwa Conglomerate project, featuring Busta, J Doe and Reek Da Villian.

0 comments: