Friday, December 07, 2012

WATOTO WA 2FACE IDIBIA WAFANTA NYAYO ZA BABA YAO...

Watoto wa African queen  hit maker 2FACE wameonesha dalili za kulithi swag za baba yao baada ya kupata deal la kutengeneza tangazo la television katika kampuni ya House of Chi LTD.
Nino na ZOna watoto aliozaa na Sumbo Ajaba ambaye ni mwanamke wa tatu kuzaa nae 2face,Nino ni mtoto wa kwanza akifuatiwa na Zona, wamepata deal kwenye moja ya kampuni  kubwa nchini Nigeria kufanya tangazo la Orange Juice

Cheki Tweet ya Sumbo Ajaba mama watoto wa 2face.......

0 comments: