Monday, December 17, 2012

CANNIBAL RASMI ATENGANA NA PREZZO..MAKINI MUSIC GROUP....


baada ya  kipindi kifupi kupita  tangu wakali wawili kuungana   Coast based rapper Cannibal na  king of bling Prezzo  ambaye ni balozi wa  One  compain  .. Cannibal amethibisha kujitoa rasmi
wawili hao waliungana na kuunda Makini Music Group lakini  group hilo limekosa mpya tangu walipo litambulisha  ..
Cannibal kujiondoka  Makini Music Group  aliandika kwenye page yake ya Facebook 
"My work in Makini music is done so am back to my Gansta s**t now ..."

0 comments: