Tuesday, December 18, 2012

2 CHAINZ ATANGAZA RASMI “B.O.A.T.S” KUTAWAZWA GOLD…….

Akizivunja habari hizi kupitia Twitter…mtu mzima 2 Chainz aka Tity Boi amesema mzigo wake “Based on A T.R.U Story” mpaka sasa umeuza nakala zaidi ya 500,000 hivyo kutawazwa rasmi ‘GOLD’..na kuwashukuru wale wote waliowezesha hilo.
Tweet yake ilisomeka “Namshukuru Mungu, familia, timu, mashabiki, dj’z, taste makers, bloggers na wewe pia kwa support…tupo GOLD tayari…#Basedonatrustory(B.O.A.T.S.)#”…
“Based On A T.R.U Story” aka B.O.A.T.S. rasmi ilidondoka mtaani Aug 14, 2012 na moja kwa moja ikafika nafasi ya kwanza kwenye Billboard Top 200 Albams kwa kuuzwa nakala 147,000 wiki yake ya kwanza tu.

0 comments: