Tuesday, December 18, 2012

Nazizi ANUSULIKA KUUMIZWA KATIKA TUKIO LILOHUSISHA RISASI

Weekend iliyoisha  rapper and reggae singer Nazizi Hirji aliuhusika katika tukio la risasi lililotokea nchini humo kwenye bar ndogo iitwayo Calypso bar iliyopo Cannon Towers , Mombasa na inauwezo wa kuchukua watu kama 15  tu..
Kwamujibu wa Naziz nikwamba jamaa mwenye bunduki mkononi aliiteka bar hiyo akitafuta kundi la watu ambao wali mpiga na kumuachia  na majeraha,inadaiwa yalitokea mabishano nje  kabla ya jamaa kuiteka counter na kimimina risasi kwenye grass na chupa,
Baada ya mua mmfupi police waliwasili na kumkamata na kugundua kuwa jamaa alikuwa katika bar hiyo akiwatafuta wabaya wake walio mpiga na kumuachia majeraha makubwa
 Hata hivyo Kenyan post wameripoti kuwa hakuna hata raia alie pata madhara katika tukio hilo..

NAZIZI PIA KUTOKA NA ALBUM ,January

Nazizi Hirji ambaye ni Former member wa  Necessary Noize  anatarajia kutoka na albam yake January mwakani albam ambayo amerecord na mkali wa dancehall kutoka   Jamaica Ginjah.

   
                                                         Ginjah.
Nazizi anasema amekwisha kumaliza kutengeneza albam na Ginjah kupitia recording label kutoka  Italia ambayo wamesign nayo kwa usambazaji wa mzigo huo.
album imepangwa kuzinduliwa rasmi nchini Kenya na kufuatiwa na kabla ya kwenda kufanya tour barani ulaya  , Nazizi ameondoka Nairobi na kwenda  Malindi ilikuelekeza mawazo yake katika familia yake  na kwasasa yupo katika tour huko Mombasa na  Warriors From the East, band kutoka  Arusha


0 comments: