Monday, December 17, 2012

DULAYO ALALAMIKIA KUTO KUPEWA SHOW ZA MTIKISIKO 2012...


Mtikisiko ni show kubwa kusini mwa Tanzania ambayo hufanyika kila mwaka mikoa ya mbeya,Njombe na Iringa na kushirikisha wasanii wa kizazi kipya kutoka ndani na nje ya bongo,Dullayo aka D tyming amekuwa hapangwi katika show hizo hali iliomlazimu kushindwa kuficha yake ya moyoni na kutiririka...
msikilize hapa.....

0 comments: