Tuesday, May 20, 2014

Ciara ajifungua mtoto wa kiume  photo ScreenShot2014-05-20at24513PM_zps53d719a4.png
 Pongezi kwa wanamuziki Ciara na  Future ambao wamepata mtoto wa kiume jumatatu wiki hii .
Mtoto huyo amekuwa wa kwanza kwa Ciara mwenye umri wa miaka 20 na anakuwa mtot wan ne kwa Future ambaye tayari anawatoto watatu aliowapata hapo mwanzo.


Ciara alimtambulisha mwanae kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha ya mkono wa mtoto huyo na kuambatanisha na jina la mtoto huyoFuture Zahir Wilburn,
 photo ScreenShot2014-05-20at24531PM_zpsa5cbb044.png

0 comments: