Wednesday, May 28, 2014

picha aliojipiga wizkhalifa akiwa jela yamletea matatizo

Wiz Khalifa picha ya kujipiga maarufu kama selfie aliojipiga Wizkhalifa akiwa jela yamuingiza matatani ,


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ police wa Texes Marekani wanampango wa kuanzisha upelelezi kujua ni vipi rapper huyo aliweza kuwa na simu wakati akiwa mahabusu wakati alipo kamatwa wikiend iliopita akiwa na bangi.
Mtuhumiwa haruhiswi kuwa na kifaa chochote wakati akiwa lockup, sasa  police wanataka kujua kama Wizkhalifa hakusachiwa au ni police walileta utani.
Kwa mujibu wa Wizkhalifa amesema alipitisha simu kwa njia za panya kwa kuwa mbali na fans wake.

0 comments: