Wednesday, May 07, 2014

Rapper Rich Hommie adondoka kwa kifafa..

Rapper Rich Homie Quan Hospitalized After Suffering Twin Seizures
Rapper Rich Homie Quan  jana jumanne jioni alilazimika kukimbizwa hospitali baada ya kupata kifafa (seizures) na kudondoka wakati akifanya video huko Atlanta.


kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Rich Homie Quan alikuwa akishoot video na rapper  Problem na kujikuta akipata kifafa mara mbili ,taarifa zinasema Rich Hommie alipo pata kifafa alidondoka ardhini na kugonga kichwa vibaya na kisha kukimbizwa hospitali ya karibu kwa matibu.
chanzo cha kifafa cha Rapper huyo mwenye miaka 24 hakijajulikana ,na huyu sio rapper wa kwanza kupata kifafa kwani Lil Wayne na Rick Ross pia walisha wahi kukutana na tatizo kama hilo
.
Video hapo chini ndo wimbo ulio wahi kufanya vizuri unaiwa Defferences

0 comments: