Tuesday, May 20, 2014

Ray J kumpa Kim K zawadi ya ndoa sehemu ya mauzo ya mkanda wao ngono..

 
Ray J amepanga kuwapa  Kim Kardashian na Kanye West zawadi ya  dola laki 47 kama zawadi ya ndoa yao pesa ambayo amedai inatokana na mauzo ya mkanda wa ngono waliotengeneza miaka iliyopita.


 Ray J amesema atampa kim faida ya mauzo ya miezi minne mkanda huo  unaoendelea kuuzwa mpaka sasa licha ya kutoka miaka saba iliopita.

Mpaka sasa haijajulikana kama Kim atakubali zawadi hiyo kwa kuwa hajasema chochote mara baada ya maneno hayo ya Ray J kuenea..

0 comments: