Tuesday, May 13, 2014

wasanii wazungumzia sakata la Jay Z na Solange

 
baada ya kuvuja kwa video inaonesha Jay Z akipigwa na mdogo wake Beyonce, Solage wakiwa ndani ya lift baadhi ya wasanii wametoa maoni yao juu ya sakata hilo ambalo limechukuua Headline karibia kila chombo cha habari..

 
50 Cent alipost kipande cha video kwenye mtandao wa instagram kipande kichoambatana na ujumbe "Family MAtters,jay you did the right thing keep col.lol "
Image:  Image #3
kwa upande wa tanzania mtandao wa Bongo5 umezungumza na baadhi ya wasanii akiwemo Gosby ,Jokate,Rama D,Vannesa Mdee na Cindy Rulz soma walichokisema.

Cindy rulz
Kwasababu wale wanaoekana wako kwakuwa imezoeleka sisi watu weusi kidesign tuko ratchet!
 Sasa the carters ni watu ambao wanafanya vitu chini kwa chini sana na mpaka wengine wakihisi wale hawanaga matatizo kwenye house hold yao!
Na bila ile video kuvuja tusingejua chochote kilichotokea sababu walitoka kwenye lifti kama hamna chochote kilichotokea!
So baada ya hiyo video ndo watu sasa wameanza kwa kusema kumbe the Carters nao wamo, kwamba they are just like everyone else.

Vanessa Mdee

are finally coming off as human beings. I think it a reflection of everyones own issues and a reminder that we are all human.
Sidhani Kama watu wana furahia per se bali they ve been so private and picture perfect for ages that this one time the cracks are showing and its okay,
 Beyonce is still the baddest, Jay is still the dopest and The Carters together still have their net worth. Worse things have happened.
Trust the Cartes to monetize off of this throw in Solange as a back up singer no offense I love Solo ) or use the clip in an exclusive 


Rama Dee
Siku zote ukiwa Na mafanikio watu wanafurahi ukipata shida so Jay Z ni mtu mwenye akili sana ile ni issue ya kifamilia
halafu walijaribu kuitengeneza kwa muda mfupi ila walishachelewa.Kama ingekuwa bongo tusingeelewa kitu mana jamaa wanajua kulinda ofisi zao
Unajua wamarekani wanatabia kidogo kama za kibongo yaani kwenye familia  mtu akitoka wanataka na familia kutokea hapo..
I think Jay Z anajaribu kumpa misingi mke wake kuwa super woman sasa kwa familia zetu hizi za watu weusi
nafikiri unazifahamu Ila Jay Z ni mtu ambaye anaweza kucheza na akili ya mtu inaonekana ni tatizo la muda ndani ya familia.
 Pale kisheria Jay Z anatakiwa kulipwa pia naona kama amezidi kuonekana mwanamuziki mwenye kufahamu(kioo cha jamii) 
ile kitu kama inatokea pale maisha au hotel za bongo halafu Jay Z awe (jina kapuni) mbona vioo vyote vitavunjika!!!!


Gosby
Nadhani kila mtu ameshangaa kilichotokea, sikuwahikufikiria kuna siku ntamuona Jay kwenye situation kama ile but they played smart,
 if it wasnt for that video or TMZ tusingejua chochote. Jamaa wanaweka mambo yao private sana.

Watu wanaonekana kufurahia sababu wako too private hata ikitokea scandal there is normally no proof. T
hey are good at maintaining good/positive image. Sidhani kama hii itaharibu show yao sababu Beyomce is strong always has her game face on
 

0 comments: