Wednesday, May 07, 2014

MFAHAMU MWANAMKE WA KWANZA KUWA KOCHA WA KLABU YA LIGI KUBWA ULAYA.


KLABU ya Daraja la Pili Ufaransa, Clermont Foot imemuajiri mwanamama Helena Costa kuwa mocha wao mpya.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 39 atakuwa mocha wa kwanza wa kike kuongoza timu ya maharaja mawili ya juu katika Ligi za Ulaya.
Costa kwa sass ni mocha wa timu ya taiga ya wan awake ya Iran ambaye awali alifundisha timu za wan awake za Qatar na Benfica. Pia amewahi kufanya kazi na mabingwa wa Scotland, Celtic.
Mwanamama kazini: Helena Costa (kulia) ndiye mocha mpya wa Clermont Foot ya Daraja la Pili Ufaransa
 
Groundbreaking: Current Iran boss Costa (left) will become the first female manager in a major European league
Kocha wa Iran, Costa (kushoto) atakuwa mocha mpya wa timu ya ligi kubwa Ulaya

Taarifa ya Clermont imesema: "Helena Costa ataifundisha Clermont Foot msimu ujao. Itaisaidia klabu kuingia katika zama mpya.

Credit :bin zubeiry

0 comments: