Thursday, May 29, 2014

Mosey Radio matatani kwa kupanda marujuana nyumbani kwake..

Mwanamuziki kutoka Uganda  Mozey Radio ameingia matatani baada ya kukamatwa kwa makosa mawili ikiwemo kupigana hadharani na pia kupanda bangi nyumbani kwake.

Imeelezwa kuwa jumatatu wiki hii Mozey Radio akiwana na watu wake  walipigana na watu wengine waliokuwa wakiongozwa na jamaa aliefamika kwa jina la Jeff Kiwanuka katika moja ya mgahawa nchini humo na ndipo police siku ya jumanne walipo enda nyumbani kwake kwaajili ya kumkamata na kukuta imepandwa bangi nyumbani kwake..
Inasemekana jamaa  alipata majelaha baada ya police kutumia nguvu kutokanana mosey Radio na watu wake kuanza kukataa kuchukuliwa na police kufuatia marujuana kupatikana kwenye nyumba hiyo.
source
:entflossug.COM

0 comments: