Thursday, May 08, 2014

Michelle Obama, Drake, Angelina Jolie wajiunga kwenye kampeni ya #BringBackOurGirls


 Michelle Obama
Mke wa rais wa marekani Michalle Obama amejiunga na Watu maarufu duniani  katika kampeni ya #BringBackOurGirls  kushinikiza kuachiwa kwa wasichana ambao ni wanafunzi  zaidi ya 200 walitekwa  nchini Nigeria na kikundi cha Boko Haram tangu April 14, 2014. 


Michelle Obama jana  May 8, 2014 amejiunga katika kampeni hiyo baada ya kuweka picha kwenye mtandao wa instagram akiwa ameshikilia karatasi yenye uchumbe wenye hastag ya ‘#BringBackOurGirls‘.picha hiyo iliambatana na ujumbe uliosema ‘ sara zetu kwa wasichana waliopotea Nigeria  na familia zao ,ni muda wa kuwarudisha nyumbani wasichana ,
baadhi ya watu wengine maarufu walijiunga katika kampeni hiyo ni pamoja na rapper Drake, Justin Timberlake, Forest Withaker, Lucy Lopez, Sean Penn, Aston Kutcher, na wengine wengi ..
Drake

0 comments: