Wednesday, May 14, 2014

Soma alichokiandika diamond baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo za BET..


Baada ya kutajwa kuwania tuzo za BET za marekani mwaka 2014 kupitia kipengele cha best international act:Africa, Diamond amewatumia ujumbe mashabiki wake kupitia Twitter wa  kuwashukuru huku pia akiwataka kumpigia kura ili aweze kushinda tuzo hizo.."KWA SASA SINA MENGI YA KUSEMA,ILA NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA HATUA HII,NA SIWEZI SAHAU KUWASHUKURU MASHABIKI WANGU KWA SUPPORT MNAYONIPA NA KUNI MOTIVATE NIZIDI KUFANYA VIZURI KILA SIKU,NINA IMANI MDA SIYO MLEFU MZIKI WETU UTASOMEKA KWENYE RAMANI TUNAYOITAKA,NIWAKUMBUSHE TU,HIZI NI NOMINEES HATUA ZA UPIGAJI KURA ZIKIANZA NITAWAJULISHA.USISAHAU TU KUENDELEA KUNIPIGIA KURA TUZO ZA MTV MAMA,PIA KORA KWA KULIKE PAGE YAO NA KU COMENT JINA LANGU.AHSANTENI."ameandika Diamond

0 comments: